Habari Mpya:RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA RAIS WA SHIRIKA LA KIMATAIFA LA MAENDELEO LA JAPAN (JICA) IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO.-bofya hapa kwa habari zaidi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akiongea jambo na Rais wa shirika la Kimataifa la Maendeleo la
Japan (JICA) Bw. Shinichi Kitaoka aliyekutana na kufanya mazungumzo naye leo
agosti 21, 2017 Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akifurahia jambo na Rais
wa shirika la Kimataifa la Maendeleo la Japan (JICA) Bw. Shinichi Kitaoka (kushoto)
na Balozi wa Japan nchini Mhe. Masaharu Yoshida leo agosti 21, 2017 Ikulu
jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akimtambulisha Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
Mhandisi Joseph Nyamhanga na Mtendaji Mkuu wa Tanroads Mhandisi Patrick Mfugale
kwa Rais wa shirika la Kimataifa la Maendeleo la Japan (JICA) Bw. Shinichi
Kitaoka aliyekutana naye leo agosti 21, 2017 Ikulu jijini Dar es salaam.
No comments: