Habari Mpya: HAKIMU MAKETE: ACHENI KUWALAUMU POLISI WANAPOTOA DHAMANA KWA WATUHUMIWA- bofya hapa kwa habari zaidi
Na Edwin Moshi
Hakimu
wa Mahakama ya Mwanzo Makete Mjini ameitaka jamii kuacha kutupa lawama
kwa polisi ama Mahakama pale Mtuhumiwa anapoachiwa kwa dhamana
Ameyasema
hayo hivi karibuni katia kikao Maalum cha timu ya ulinzi na usalama wa
Mtoto kilichoketi katika Ukumbi wa halmashauri ya wilaya ya Makete
kujadili mambo mbalimbali Kuhusu Watoto
"Kama
kuna mahali unapoona huridhiki na kupewa dhamana mtuhumiwa, nenda
polisi ukaulize, na kama ni mahakamani nenda mahakamani ukaulize na sio
kuwalaumu polisi au mahakama mitaani" amesema hakimu huyo.
No comments: