Habari Mpya:EFM YAZINDUA TAMASHA LA MZIKI MNENE KWA MIKOA SITA NCHINI- bofya hapa kwa habari zaidi....

Balozi wa kampuni ya Noah Funishing na Mtangazaji wa Efm Radio, Swebe Santana  akizungumza juu ya kampuni hiyo ilivyojikita katika kudhamini  EFM Joging itakyofanyika katika mikoa yote sita ambapo Tamasha la Muziki Mnene litafanyika.

 Meneja Mkuu wa EFM Radio na Tv E , Denis Busulwa (SEBO), Akizungumza na Waandishi wa Habari wakati wa uzinduzi wa Tamasha Mziki Mnene litakalo fanyika katika mikoa sita nchini  Sanjari na Kampeni ya Nje Ndani ambayo itarusha vipindi vya Radio kutoka mitaani .

 Meneja Masoko kutoka kampuni ya Michezo ya Kubahatisha ya Biko, Good Hope Heaven , akizungumza namna kampuni yao ilivyoweza kudhamini Tamasha la Muziki Mnene kupitia bahati nasibu ya Nguvu ya Buku.

 Baadhi ya Watangazaji wa EFM Radio na Tv E Wakifatilia uzinduzi wa Tamasha la Mziki Mnene.

No comments:

Powered by Blogger.